Shortcuts: WD:INTRO, WD:I

Wikidata : Utangulizi

From Wikidata
Jump to: navigation, search
This page is a translated version of the page Wikidata:Introduction and the translation is 58% complete.

Outdated translations are marked like this.
Other languages:
العربية • ‎asturianu • ‎беларуская • ‎беларуская (тарашкевіца)‎ • ‎български • ‎বাংলা • ‎bosanski • ‎català • ‎کوردیی ناوەندی • ‎čeština • ‎Cymraeg • ‎dansk • ‎Deutsch • ‎Zazaki • ‎dolnoserbski • ‎Ελληνικά • ‎English • ‎Canadian English • ‎British English • ‎Esperanto • ‎español • ‎eesti • ‎euskara • ‎فارسی • ‎suomi • ‎føroyskt • ‎français • ‎Frysk • ‎galego • ‎ગુજરાતી • ‎עברית • ‎हिन्दी • ‎hornjoserbsce • ‎magyar • ‎Հայերեն • ‎interlingua • ‎Bahasa Indonesia • ‎Ilokano • ‎íslenska • ‎italiano • ‎日本語 • ‎ქართული • ‎қазақша • ‎ಕನ್ನಡ • ‎한국어 • ‎Ripoarisch • ‎Lëtzebuergesch • ‎lietuvių • ‎latviešu • ‎Malagasy • ‎Baso Minangkabau • ‎македонски • ‎മലയാളം • ‎मराठी • ‎Bahasa Melayu • ‎norsk bokmål • ‎नेपाली • ‎Nederlands • ‎Sesotho sa Leboa • ‎occitan • ‎ଓଡ଼ିଆ • ‎ਪੰਜਾਬੀ • ‎polski • ‎پښتو • ‎português • ‎português do Brasil • ‎română • ‎русский • ‎саха тыла • ‎سنڌي • ‎srpskohrvatski / српскохрватски • ‎Tašlḥiyt • ‎සිංහල • ‎slovenčina • ‎shqip • ‎српски / srpski • ‎српски (ћирилица)‎ • ‎svenska • ‎Kiswahili • ‎ślůnski • ‎தமிழ் • ‎తెలుగు • ‎тоҷикӣ • ‎ไทย • ‎Tagalog • ‎Türkçe • ‎українська • ‎Tiếng Việt • ‎ייִדיש • ‎中文

Wikidata ni mradi wa "Wikimedia Foundation" usiolipisha, shirikishi, "secondary database" na unaokusanya taarifa/ujumbe unaotumika kusaidia Wikipedia, Wikimedia Commons na miradi mingine ya Wikiedia na mengi zaidi.

Hii inamaanisha nini?

Tuangalie ufunguzi kwa makini

  • "Bila malipo/Usiolipisha". Taarifa kwenya Wikidata zinachapishwa chini ya Creative Commons Public Domain Dedictaion 1.0 inayoruhusu taarifa kutumika kwenye matukio mengi tofauti. Unaweza kusambaza, kuziboresha na hata kuzitumia kibiashara bila ruhusa yoyote.v
  • "Ushirikishi" Taarifa kwenye Wikidata zinachapishwa na kuangaliwa na wahariri wa Wikidata ambao huamua jinsi ubunifu/utunzi unavyoendeshwa kwenya Wikidata na kulingana na masharti yaliyowekwa.
  • "Lugha tofauti" Uhariri, utumiaji, "browsing" na kurudiarudia kwa taarifa ni kwa lugha tofauti tofauti. Taarifa zinaweza kuchapishwa kwa lugha yeyote ile na inapatikana mara moja kwa lugha yeyote; inawezekana na inasisitizwa kuhariri kwa lugha yeyote.
  • "Taarifa mtumba." Sio jumbe pekee, Wikidata inaweza pia kurekodi vyanzo vya jumbe hizo, hivo basi kutilia maanani uhakiki wa jumbe vinazo chapishwa.
  • Kukusanya jumbe
  • Kusaidia miradi ya Wikimedia
  • "Usaidizi zaidi ya hayo" Kila mtu anaweza kutumia Wikidata kwa huduma nyingi na kubwa sana.

Wikidata hufanya kazi vipi?

Picha hii inaonyesha semi muhimu utakazosikia kwenya Wikidata

This wiki is the Wikidata repository. The repository is the central storage for the data that may be accessed by the client Wikis connected to the repository. By maintaining the data in the repository, content loaded dynamically from Wikidata does not need to be translated nor have to be kept up to date in each individual client Wiki. In addition, Wikidata has centralized all Wikipedia interlanguage links.

Gala/Hifadhi la Wikidata

Vitu na jumbe zao zinaambatana

Hifadhi za Wikidata zinahusika zaidi na items ambapo kila iko na label iliyo na description na moja au zaidi Wikidata:Glossary#Datatypes na hata pia{ll|Help:Queries|queries}}itapatikana baadae. Unaweza kupata mengi kuhusu Wikidata na maendeleo yake kwenye the Wikidata page on Meta.

Je, naweza kuchangia vipi?

Endeleastart editing. Kuhariri ni njia bora sana ya kujifunza. Ikiwa ungependa kuelewa madhumuni ya Wikidata kwanza, basi ungetakata kuangalia help pages. Kama una maswali, basi uko huru project chat au contact the development team

Kwa kuanzia

Baadhi ya njia za kuanzia